Safaricom kuanzisha huduma ya Mpesa nchini Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya mawasiliano ya Safricom, yenye makao yake makuu nchini Kenya, inatarajiwa kutangaza mipango yake ya kuanzisha huduma ya Mpesa, ya kutuma fedha, katika soko la nchi jirani ya Ethiopia