Shirika la ndenge ya Ethiopia laanza safari za Eritrea

Your browser doesn’t support HTML5

Ndege za kwanza za abiria kutoka Ethiopia kwenda Eritrea baada ya takriban miaka 20 zimeanza kufanya safari mapema leo Jumatano, na kumaliza mivutano ya kijeshi kati ya maadui wa zamani.