Wabunge na wakosowaji wa marekani wameeleza hali ya kushtushwa na kusikitishwa kwa hatua ya Rais Donald Trump katika mkutano wake na Rais Valdimir Putin

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa marekani wa vyama vyote viwili pamoja na wakosowaji wameeleza hali ya kushtuka na kusikitishwa na hatua ya Rais Donald Trump, ambayo haijawahi kutokea, kuungana na rais wa Rassia dhidi ya idara za usalama za Marekani ambazo zimeamua kwamba Moscow ilingilia kati uchaguzi wa rais wa 2016