Jaji asimamisha mapango ya wahamiaji kurujeshwa makwao

Your browser doesn’t support HTML5

Jaji katika mahakama ya shirikisho nchini Marekani, amesitisha mipango ya kurejeswa makwao kwa familia za wahamiaji waliounganaishwa hivi majuzi baada ya kutenganishwa mapema mwaka huu kwenye mpaka wa marekani na Mexico