Duniani Leo 13th July 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Duniani leo tarehe 13 mwezi wa 7, 2018 inaangalia ziara ya Rais Donald Trump nchini Uingereza, suala la kamari ya michezo inavyoshika kasi Afrika mashariki na fainali ya kombe la dunia.