Mawaziri wa biashara na viwanda kutoka kusini mwa jangwa la Sahara, barani Afrika, wakutana mjini Washington D.C.

Your browser doesn’t support HTML5

Mawaziri wa biashara na viwanda kutoka kusini mwa jangwa la Sahara, mabalozi, pamoja na wadau wa biashara wa marekani,wanakutana hapa Washington DC, Marekani, katika mkutano wa 17 wa AGOA, kujadili mafanikio na changamoto zinazozikumba nchi wanachama katika biashara