Wasanii waliharibu kazi ya sanaa Tanzania -Monalisa

Your browser doesn’t support HTML5

Mwigizaji maarufu Monalisa alisema kuwa wasanii ndio waliopelekea kuporomoka kwa soko la filamu Tanzania baada ya kuwachosha na kazi duni wapenzi wa sanaa ya filamu kwa kutengeneza filamu zisizo na ubora.