Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi wanachama wa NATO zimekubaliana kwa haraka
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi wanachama wa NATO zimekubaliana kwa haraka. Alisema hayo leo mwishoni mwa mkutano wa siku mbili katika makao makuu ya NATO huko mjini Brussels, Ubelgiji