Duniani Leo July 11, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Ikiwa ni Jumatano tarehe 11, 2018. Duniani leo inaangalia mkutano wa NATO unaoendelea Ulaya, uchomwaji wa shule nchini Kenya na maandamano ya vijana wa Lucha nchini DRC bila kusahau mauaji ya albino nchini Malawi.