Wanaharakati Kenya washinikiza serikali kukomesha mauaji ya kiholela

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati mjini Nairobi, Kenya, wanashinikiza serikali kukomesha mauaji ya kiholela yanayodaiwa kutekelezwa na idara ya usalama. Wanaharakati hao walifanya mkutano kama sehemu yakuiadhimisha siku ya sabasaba.