Mashabiki wa Juventus wanamsubiri Cristiano Ronaldo kwa hamu.

Your browser doesn’t support HTML5

Mashabiki wa klabu ya Juventus ya Italia wakishindwa kufanya uvumilivu wakati tetesi za uhamisho wa mshambuliaji wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo ukivuma.