Hali ya utulivu yarejea DRC baada ya shambulizi la ADF

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya utulivi imerejea mjini Beni, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) baada ya waasi wa ADF (Allied Democratic Forces) kufanya mashambulizi Jumamosi iliyopita wakati wa usiku.