Maelfu ya mashabiki wa soka wa Qatar wako tayari kwa kombe la dunia 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya washabiki wa soka wa Qatar mwenyeji wa kombe la dunia 2022, wanadai wanapendelea zaidi kuangalia mechi katika sehemu maalumu zinazoleta hisia sawa na uwanjani.