Rais wa Zimbambwe afanya ziara Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangangwa amemaliza ziara yake ya kikazi nchini Tanzania ambako alikutana na mwenyeji wake rais John Magufuli na pia kutembelea eneo la Kaole Bagamoyo.