Nchini Kenya, wanawake wajawazito wapata huduma kutoka kwa wakunga wa jadi

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya kuwepo teknolojia za kuwasaidia kina mama kujifungua katika hospitali ili kuzuiya vifo vya watoto wachanga, wanawake wenye vipato vya chini wanategmea kupata huduma za kujifungua kutoka kwa wakunga wa jadi kutokana na gharama nafuu