Waislamu mjini Mombasa wamekamilisha mwezi wa mfungo Ramadhan

Your browser doesn’t support HTML5

Waislamu mjini Mombasa wamekamilisha mwezi wa mfungo Ramadhan. Waumini hao wamefanya ibaada ya Eid El Fitr kwa maombi ya Pamoja.