Duniani Leo June 14th, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Duniani Leo tunaangalia kura kutoka Umoja wa mataifa hapo jana kuhusu suala la Palestina, serikali ya Haiti kufukuza shirika la Oxfam nchini humo na vile vile habari za burudani.