Duniani Leo June 12th 2018
Your browser doesn’t support HTML5
Kutoka Duniani Leo hivi leo tunaangalia mkutano wa kihistoria kati ya Rais Donald Trump na Kim Jung Un Rais wa Korea ya Kaskazini na tunaangalia majengo ya mji wa kihistoria wa Mombasa nchini Kenya bila kusahau suala la Ebola linavyoendelea.