Duniani Leo June 11th, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Kutoka Duniani Leo hivi leo, VOA Swahili tunaangalia kikao cha kihistoria kati ya Rais wa Korea ya Kaskazini na Rais wa Korea ya Kusini. Vile vile tunaangalia kuuwawa kwa kiongozi wa kundi la vijana la Lucha huko Goma, DRC.