Washington Bureau
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki hii katika mkutano wa kampuni ya Facebook, wawekezaji wakielezea jinsi wanavyotaka yatendeke, baada ya kashfa ya matumizi ya taarifa za wateja, na Waislam wa msikiti wa Dar Al -Hijrah wa Viginia walialika watu wa makundi tofauti ya dini kuja kula Iftar, kwa ajili ya Ramadan.