Duniani Leo May 24, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Katika Duniani Leo tarehe 24 mwezi wa tano tunaangalia ziara ya Rais Paul Kagame nchini Ufaransa, tatizo la mvua kubwa huko Tana River Kenya na aina mpya ya ndizi barani Afrika.