Mgomo wa kutofanya kazi Beni, Kivu Kaskazini

Your browser doesn’t support HTML5

Mgomo ulioitishwa na mashirika ya kiraia katika kijiji cha Mangoko Beni Mbau huko Kivu Kaskazini kufuatia mauaji ya watu 10 na wengine kupotea. Serikali ya DRC imelaumu waasi wa ADF.