Mbunge Sugu asema hakuachiliwa kwa msamaha

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya mambo ya ndani, Tanzania imetoa tamko kuwa mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Osmund Mbilinyi ameachiwa kwa msamaha wa Rais Magufuli. Mbilinyi ameiambia VOASwahili kuwa hilo sio kweli.