Duniani Leo 5th February 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Kutoka Duniani hivi leo, Mary Mgawe anakuletea taarifa kuhusu mapigano yanayoendelea huko Beni Kivu Kaskazini kati ya majeshi ya FARDC na waasi wa Congo. Vile vile tunaangalia mzozo wa Rais Trump na FBI na mengineyo mengi.