Mkimbizi arudi Dadaab miaka miwili baada ya kuondoka

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi wa kisomali walorudi nyumbani Mogadishu kutoka kambi ya Dadaab, Kenya, wameanza kurudi tena baada ya kukuta maisha si mazuri na hakuna usalama wa kutosha nyumbani.