Yaliyojiri wiki hii kutoka chumba chetu cha habari.

Your browser doesn’t support HTML5

Kutoka chumba cha habari cha VOA Swahili ambapo suala la zimbabwe, kesi ya msanii Lulu nchini Tanzania ni moja tu ya habari zilizotanda kwa kina. Ungana na Aida Issa kujua zaidi.