Mjadala wa namna mitandao ya jamii inavyochukua nafasi ya vyombo vya habari.

Your browser doesn’t support HTML5

Mjadala wa vijana nchini Afrika ya kusini kuhusu namna mitandao ya jamii inavyochukua nafasi ya vyombo vya habari. Jackson M'vunganyi wa VOA Washington D.C. aliongoza mjadala huu.