Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete nchini Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete imekuwa kimbilio la watanzania na wananchi wa nchi jirani wenye matatizo ya moyo toka kuanzishwa mwaka 2008. Taasisi hii inaendelea kukua siku hadi siku.