Mauaji yaliyofanyika Texas na tatizo la umiliki wa bunduki hapa Marekani.

Your browser doesn’t support HTML5

Mauaji yaliyofanyika kanisani huko Texas wiki hii yameshtua wengi na kuzusha mjadala wa muda mrefu kuhusu umiliki wa silaha hapa Marekani. Mary Mgawe anaelezea hili zaidi.