Marudio ya uchaguzi wa rais yafanyika Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya hawakujitokeza kwa wingi kushiriki katika marudio ya uchaguzi wa rais siku ya Alhamisi.