Wanawake wa Saudi wafurahia uwamuzi wa kuendesha gari
Your browser doesn’t support HTML5
Abdallah Muawiya, mwandishi habari wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio ya Kimataifa ya Saudi Arabia, anasema wanaharakati wanachukulia uwamuzi huo kua ni ushindi kwa juhudi zao.