Vidonda vya tumbo maarufu kama ulcers kwa lugha ya kimombo ni tatizo ambalo huripotiwa kukumba maelfu ya watu, kote ulimwenguni

Your browser doesn’t support HTML5

Vidonda vya tumbo maarufu kama ulcers kwa lugha ya kimombo ni tatizo ambalo huripotiwa kukumba maelfu ya watu, kote ulimwenguni. Katika makala ya afya wiki hii, tutaangazia namna ya kukabiliana na vidonda vya tumbo, kama anavyoripoti mwandishi wa VOA Mombasa Amina Chombo.