Ukeketaji wa wananawake ni suala sugu miongoni mwa jamii mbalimbali barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hilo la uyanyanyasaji, jamii ya wasomali nchini Kenya kwa miongo kadha sasa, imekuwa ikienzi tamaduni ya wasichana kupashwa tohara licha ya taifa la Kenya kupiga hatua katika kuteta haki za wanawake.