Guterres: Ghasia lazima zisitishwe Myanmar

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres atowa wito wa kusitishwa mara moja ghasia na mauwaji yanayoendela Myanmar dhidi ya waislamu wa Kirohingya.