Ziara ya Rais wa Misri nchini Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi amezuru nchini Tanzania ambapo anaongea na mwenyeji wake Rais Magufuli kuhusu mambo mbali mbali na ushirikiano kati ya Tanzania na Misri. Rais Magufuli amesema bado suala la mto Nile linaendelea kujadiliwa.