Mahojiano ya Amina Chombo na Mwanamvua Boga kutoka Mombasa, Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamama Mwanamvua Boga kutoka Kilifi Mombasa ndiye anayejaribu kubadilisha namna ambayo hospitali za uma nchini Kenya zinavyowasiliana na wagonjwa. Watu wengi hawapendi kuhudumiwa na hospitali za uma kwa sababu ya mawasiliano mabaya na wahudumu.