Mgombea urais wa Kenya Ekuru Aukot akimwaga cheche zake kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu

Your browser doesn’t support HTML5

Ekuru anasema Jubilee na NASA ni wafisadi na anawataja kama farasi walio na majeraha huku akisema yeye ni ngamia na atawashinda licha kuwa na mwendo wa pole.Ekuru anatoka jamii ndogo ya Turkana.