Kuelekea kuzinduliwa kwa reli ya kisasa nchini Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya wanajiandaa na uzinduzi wa reli ya kisasa wiki hii kutoka Mombasa mpaka Nairobi. VOA Swahili inaangalia namna Kenya ilipofikia hapo.