Ajali ya basi la wanafunzi wa Arusha
Your browser doesn’t support HTML5
Watu 32 wakiwemo Watoto 29 wa shule ya msingi lack Vincent ya jijini Arusha wamefariki dunia, baada ya basi hilo kutumbukia kwenye korongo la mto Marela wilayani Karatu mkoani Arusha