Karatasi inayotokana na magugu maji Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Magugu maji yanayosababisha hasara kubwa katika ziwa Victopria huko Afrika Mashariki, yanafaidisha utengenezaji wa karatasi za sanaa na za kipekee.