Donald Trump ajitayarisha kuchukua madaraka

Your browser doesn’t support HTML5

Rais mteule wa Marekani Donald Trump anajitayarisha kuchukua madaraka hapo Januari 20 kwa kuanza kuteua mawaziri na washauri wake, huku baadhi ya wamarekani wakiendelea na maandamano kupinga uchaguzi wake.