Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji azungumza na Abdushakur Aboud

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji akiwa katika ziara ya kikazi Marekani alitembelea Sauti ya Amerika na kuzungumza na Abdushakur Aboud juu ya mazungumzo yake na wakuu wa Marekani.