Wasichana wa Chibok waomba kuokolewa

Your browser doesn’t support HTML5

Video mpya ya wasichana walotekwa nyara zaidi ya miaka miwili ilioyopita imetolewa ikiwaonesha wamechoka na kutaka kurudi nyumbani.