Siku ya Wa-Albino Duniani yasherehekewa Goma DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wenye ulemavu wa ngozi huko Goma, DRC waungana na wakazi wote duniani siku ya Jumatatu, June 13, kudai usalama na haki zao kulindwa.