Matukio ya Dunia Maandamano kupinga tume ya uchaguzi Kenya 23 Mei, 2016 Your browser doesn’t support HTML5 Wafuasi wa upinzani waandamana katika miji mikuu ya Kenya, kutoa wito wa kuondolewa kwa wajumbe wa tume ya uchaguzi ya IEBC