Malkia wa Pembe awasilishwa mahakamani Dar es Salaam

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamke wa Kichina anaefahamika kama malkia wa biashara ya pembe za ndovu katika Afrika Mashariki amepanda kizimbani Jumatatu akikabiliwa na shtaka la kuendesha genge linaloratibu biashara hiyo.