Wanajeshi wa FARDC na MONUSCO wawashambulia waasi wa ADF

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa DRC na wa Umoja wa Mataifa wameanza mashambulizi ya pamoja kuwaondowa waasi wa kundi la Uganda la ADF huko Erengeti mashariki ya Congo