WADA: Kenya bado haiheshimu kanuni za kutotumia dawa katika riadha

Your browser doesn’t support HTML5

Idara ya kupambana na dawa na kutia nguvu mwilini WADA inasema Kenya bado haiheshimu kanuni za kimataifa za kutotumia dawa hizo pamoja na wanariadha wake.