Watu wanne waokolewa Huruma Nairobi

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyakazi wa uwokozi kwenye eneo jengo la gorofa sita lilipoanguka wameweza kuwaokowa watu wanne Alhamisi wakiwa hai siku sita baada ya jengo kuanguka