Mzozo wa kisiasa Brazil

Your browser doesn’t support HTML5

Kamati ya kufungulia viongozi mashtaka katika baraza kuu la bunge la Brazil limepitisha hoja ya kumfunguliwa mashtaka Rais Dlima Rousseff kwa tuhuma za kukiuka sheria za bajeti ili kujipendelea katika uchaguzi wake wa awamu ya pili 2014.